Koffi Olomide akamatwa DR Congo na Kuhukumiwa Kifungo

KINSHASA, CONGO: Mahakama imemhukumu Mwanamuziki Koffi Olomide, miezi 18 jela kwa kumpiga mnenguaji wake wa kike wiki iliyopita.
Hukumu yake hiyo haina adhabu mbadala ya kulipa faini kwa hiyo kutumikia hiyo miezi 18 jela

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtu anafungwa bila kujitetea!

    ReplyDelete
  2. Hiyo ndiyo Africa no wonder watu wanaingia mitini daily kulikimbia hilo Continent lenye wanasiasa na viongozi wa ajabu ajabu kwa kutafuta maisha hna haki kama binadamu kwenye nchi za magharibi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad