Lowassa: Kichapo Tulichowapa CCM Uchaguzi wa 2015 ndio Kimewapanikisha

Aliyekuwa mgombea urais CHADEMA Edward Lowassa amesema kipigo walichopata CCM mwaka 2015 ndio kimewapanikisha na kuanza kufanya mambo kwa fujo na kupiga marufuku mikutano ya vyama ambayo inaruhusiwa kikatiba
Ametaka CHADEMA wasikate tamaa japokuwa wanafanyiwa mambo ili kuwa frustrate ili wasifanye kazi na wadharaulike na hawawezi kukubali..

Tazama Video:

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mzee mchunga ng'ombe hapo umechemsha.Kama kipigo alikotokea Lowassa, CHADEMA na UKAWA nani asiyejua. LOWASSA alijua tu kwamba akichapwa anaenda kuchunga ng'ombe jambo ambalo hajafanya kwa sababu ya kiwewe bado anaamini uchaguzi unaendelea! Taswira za siasa za Tanzania zinaonesha pande mbili, wa MUNGU na wa miungu. Roho wa MUNGU yuko CCM na wa miungu yuko UKAWA. Hii unadhihirishwa na siasa za ustaarabu zinazofanywa na CCM na siasa za ubabe zinazofanywa na UKAWA. Kweli pepo mchafu wa UKAWA aliwaingia baadhi ya watu akiwamo Lowassa wakapotea njia lakini kwa kuwa Roho wa MUNGU yuko kwa wana-CCM wakachukua uongozi wa nchi. Siku Roho Huyu wa MUNGU atakapowaacha CCM ndipo tutaona hali tofauti. Ila nashangaa akiwatoka ndipo ahamie kwa pepo mchafu wa miungu?

    ReplyDelete
  2. MZEE WANGU KWANI KADI YA CCM ULIRUDISHA?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndugu yangu Anonymous, suala la kadi tena linaingiaje hapa? Zungumzia tu kipigo alichokipata Lowassa na wenzake. Tufunge mjadala maana hata kujitaja jina huwezi, naongea na kivuli?

      Delete
    2. lowasa ni CCM si kazi mkasikia anatangaza anarudi tena CCM

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad