Mabasi ya Mwendo ya Mwendo Kasi Kuanza Kutumia Gesi Badala ya Petroli


Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema kuwa awamu ya pili ya mabasi yaendayo kwa kasi jijini Dar yatatumia nishati ya gesi asilia badala ya mafuta.

Katika awamu ya pili, mabasi mapya 200 ya mradi huo yanatarajiwa kuingizwa nchini.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fikra ni Moja ya muonekano wa kisasa na unaondoa Environmental Pollution na kupunguza maradhi yanayo sababisha Mapafu na njia zake kupata tabu.. Hogera sana kwa ubunifu sahihi... Mh Majaliwa na timu yako mkiongozwa na Baba JPJM ... Tunakubali sana

    ReplyDelete
  2. Sasa naliona Taifa la Wasomi kupewa nafasi ya kufikiri. Ni muda mfupi sana toka Serikali ya Awamu ya Tano imeingia Madarakani but tumeshuhudia mabadiliko ya Fikra. Nampongeza sana Mh.JPJM kwa kujumuisha Vijana katika Safu yake. Matunda ya Fikra chana yanaonekana wazi. Keep it up.
    Mtanzania
    From Another Mother

    ReplyDelete
  3. Hongera sana kwani wazo la kutumia gesi ni zuri sana kwa vile gesi inazalishwa hapa nchini itasaidia kukuza uchumi wa nchi kwa vile mzunguuko wa pesa utabaki hapa hapa nchini badala ya kutumia mafuta ambayo hadi sasa tunaagiza nje ya nchi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad