Mh. Magufuli amesema na hapa namnukuu, "Hii ni tafsiri kwamba wapangaji wa nyumba hizi walikuwa ni wafanyakazi serikalini".
Mh Rais ameongeza na kusema kwamba, "Ilifika mahali kuna wafanyakazi weekend zao walikuwa wakizifanyia Dubai na kurudi Jumapili".
Mh. Rais nimemnukuu akisisitiza kwamba, "Hapo nyuma nchi hii kuna watu walikuwa wao wanaenjoy huku wengine wakiwa watizamaji, hii hapana lazima tu-enjoy wote".
Hahahahahaha nakupenda bure baba magufuli...wataelewa tu...sasa hv kila mtu atakula kuvaa na kuendesha gari kwa kazi halalii tu...naona hadi instagram wimbi la wadada kujiuza limepungua maaana ilikuwa ni balaa...sahv no money mapedeshee hoi mishentaun chaliiii wauza unga kwishaà aa hahhahhaha nasikia raha utamuu
ReplyDeleteAcha kabisa mdau,hali ni mbaya kwa waliozoea kufisadi.Yaani kuna watu hata mishahara walikuwa hawaugusi,wao ni watu wa hela za wizi tu,sasa hivi wamepoa na ni watu wa mawazo tuuu.
DeleteNa ndio wanamchukiaje JPJM sasa!Tumuombee rais wetu maana kaonyesha ujasiri wa hali ya juu,katufungua akili watanzania kwamba nchi ilikuwa inaliwa na wajanja,na hata kama muda wake ukiisha basi rais ajae ajue wazi kuwa kama atafumbia maovu atakuwa na wakati mgumu sana.MUNGU MBARIKI RAIS WETU NA WATENDAJI WAKE,MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Yaani hiyo mijitu wachaa hiyo mijiwazo iwandame kwa ubaladhuli wao si wamekwisha Yapata mema yao kwa ubaradhuli. Na wengine kutaabika mpkaa. Mola anasikia vilio vya wengi pia. Kwa wakaida mambo ni kawaida mlo moja kwa siku ni kawaida shida kwa mibaradhuli
DeleteSawa sawa baba Magufuri baba wanyoshe, kwanza walikuwa wanatupelekea Taifa zima mahangaiko kukosa huduma muhimu si hatari hiyo. Walisha jiona miungu watu, kwa wizi,ufisadi,rushwa kwa kodi zetu wenyeweeee, wapelekee tu haoo
ReplyDeleteMagu..ulikuwa wapi??? Wewe Ni Mtoto wetu nwenye kujituma Na Vision ...Nakuomba utubadilishie Hilo taiga Kama lilikuwa halina wenyewe..Hivi sasa tunarudi kwenye mstari..na Nidhamu inarudi Na uwajibikaji unaanza kushika Kasi..Rushwa imepungua..misheni town zinaanza kufa..Uchezeani pesa za umma ..unaanza kukatika...Endeleea mwanetu tena kaza buti Sawa Sawa..asiyw iweza Kasi yako tafadhali akae pembeni!!! hapa kazi tu
ReplyDeleteUmeona eeh!Tuseme asante Mungu asiye na kuchelewa wala kuwahi bali ni wakati tu wa kutupa mtu kama Magufuli ulikuwa bado kikubwa ni kuomba.Naiona kabisa TZ yenye neema muda si mrefu,ASANTE MUNGU.
DeleteSIMUELEWI KABISA HUYU BABA,SIJUI HATA NI MTU WA AINA GANI,HANA MAKUU YEYE WALA WATOTO/FAMILIA YAKE.KASHUSHWA?
DeleteKweli kabisa,mie na kizabinazabina changu cha kuichukia ccm kimeisha fyyuuu,na kumbe sio ccm ni watu waliokuwa kipindi hicho ndo walikuwa wanazingua.wajemeni!
DeleteAsante baba,Umeleta heshima na nidhamu TZ.Mungu aendelee kukutunza,akuepushe na maradhi,akuepushe pia na roho ya kukata tamaa.Tumeanza kunyooka.
ReplyDeletePesa zilizookolewa basi zitolewe zifanye kazi. Isiwe raha kuzingalia ktk ma account benki kuu/ hazina
ReplyDeleteHayoo hayakuhusu mdau. Mradi pesa zipo pale zimeokolewa azijaingia mifukoni na kujaza mifukonyao Hawa mabazazi wakubwa wajalaana wakubwa na waharibifu wasio kuwa na hata miyoyo ya huruma na wenzao zimeokolewa ni za Taifa zitafanya maendeleo ya Taifa kwa manufaa ya Taifa yaani wote. Kunna mataifa hasa yaliyoendelea yameifadhi hela mpaka vizazi na vizazi huko kwa wenzetu wanakojielewa.
DeleteWERAWERA NGOSHAAAAAAAA.MOLA SANA.
ReplyDeleteWelaa wela mdau Mbona Mola wetu ametupa Ngosha wa maana aswa!!!!!
DeleteJPJM UMEKUWA GUMZO DUNIANI,MUNGU AKUBARIKI BABA.
ReplyDeleteWATACHONGA WEEE LAKINI MWISHO WATACHOKA,
ReplyDeleteNA WATAKUBALI HATA KIMOYOMOYO KUWA JPJM
ANAFANYA VIZURI.HAPA KAZI TU!
kaza buti waisome number lazima wote tulipe kodi kuenjoy tuenjoy wote kama tunavyopumua hewa moja JPM kiboko yao Mungu akulinde na mabaya yooooote
ReplyDeleteASANTE MY PREZIDAAAAAAAAAAAAAAAA.
ReplyDeleteTena walikuwa wanafikia kwa balozi mdogo
ReplyDelete