Magufuli: Walioanza Kulalamika Hakuna Pesa Mifukoni ni Wale Waliozoea Kupata Pesa za Burebure

Haya ni maneno ya mh Magufuli akiwaasa watanzania wafanye kazi kwa badii ili kuweza kujipatia kipato.

Maneno haya ameyatoa alipohudhururia mualiko maalumu kutoka kwa muft mkuu wa dini ya kiislam Tanzania kwenye baraza la la sikuku ya Eid.

Hizi ni salamu kwa wale wote wanaolalamika kwamba

Magufuli: Tusipofanya kazi hatutapata pesa, ndio maana waliokuwa wanapata za kiujanjajanja wanahaha, tushirikiane kuijenga nchi yetu 

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kamua baba mpaka waseme pooooooooooooo!!!

    ReplyDelete
  2. Mlimchagua JPM kwa kutegemea kuwa wizi na ubadhirifu wenu muuendeleze kama mlivyoufanya wizi ni halali toka Tanzania ipate uhuru watu mnaiba tu good time kwa sana bila ya kutoka jasho but now the table has turned mnaanza kupiga bla bla bla kuwa pesa hakuna.....mmesahau kuwa"NOTHING COMES OUT OF NOTHING?Fanyeni kazi inavyotakiwa na acheni hizo roho mbaya zenu mlijenge taifa lenu kwa moyo mmoja bla bla bla too much daily haziwezi kuvunja chawa nchi itakaa hapo hapo ndani ya tope jeusi linalotoa harufu mbaya

    ReplyDelete
  3. Ujanja Ujanja Pwaaa.... Mesheni town Pwaaa....Utapeli Pwaaaaa.
    Bepari ..Pwaaa....Kupe Pwaa.....Mirija yote imezibwa!!
    Na Cha Maana ZAIDI IMEIBANA HEWA KWA NIA NA LENGO LA KUITOKOMEZA
    Hewa ... kwa kila ubunifu WA KIHEWA na Mbinu za HEWA NA KUHAKIKISHA HII NCHI HAIWI YA HEWA NA WALE WATU HEWA WATOKOMEE HUKO HEWANI

    Sasa Magu kaja na sera ya Nguvu Kazi... si lazima watalia.
    HONGERA JPJM.. UNALIPA KUTOKANA NA JASHO...NGUVU KAZI.. HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad