Malaika:Sitaki Tena Mpenzi wa Bongo

Diana Exavery ’Malaika’
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Diana Exavery ’Malaika’ amefunguka kuwa kwa sasa hataki tena mpenzi Bongo badala yake akitokea mtu kutoka nje ya nchi, yuko radhi kuwa naye.

Akizungumza na Risasi Vibes, Malaika ambaye hivi karibuni alimwagana na mpenzi wake Mbongo, anayefahamika kwa jina moja la Dadi, alisema wanaume wengi wa Tanzania ni pasua kichwa, jambo linalomfanya ajaribu nje kuona

“Sitaki tena mpenzi wa hapa kwa sasa, maana wengi wana tabia zinazofanana, lakini akitokea mtu wa nje poa, naweza kuwa naye,” alisema msanii huyo.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Niko Sweden nakupend kam uko tayar andik number ya sim yak hapa nitakutafuta.

    ReplyDelete
  2. Kuna watu wengi tupo nje na hatuna wapenzi. Je vipi tabia yako, je umewahi kutupia picha zako za uchi kwenye mitandao,je umebadilisha mabwana wangapi ua mabibi wangapi. Hakuna mwenye kuangaika na mastaa wa kibongo. Kama unaweza kunijibu maswali yangu,andika email yako, nitakijibu ili tufahamiane ikiwezekana. Nipo USA.

    ReplyDelete
  3. na mtu kutoka nje hakutaki wewe na manywele yako, hehe

    ReplyDelete
  4. ata burundi ni nje ya TZ

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad