Baadhi ya maofisa wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) waliokuwa kwenye mashine za ukaguzi Rais John Magufuli alipofanya ziara ya ghafla uwanjani hapo wameondolewa kwenye kitengo hicho.
Majina ya maofisa hao yamepelekwa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ili wachukuliwe hatua.
Waziri wa wizara hiyo, Profesa Makame Mbarawa ameambiwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Taa), George Sambuli kuwa maofisa hao wameondolewa uwanjani hapo.
Sambuli amesema: “Wale watumishi waliokuwapo pale tulichukua hatua za awali za kuwahamisha,pia tuliandika taarifa na kuipeleka wizarani tunasubiri maelekezo zaidi.”
Awali, maofisa hao walitoa majibu yanayotofautiana kuhusu mashine ya ukaguzi iliyopo kitengo cha ukaguzi wa mizigo.
Amesema wamejitahidi kushughulikia wizi wa mafuta ya ndege uliokuwapo katika maeneo ambayo hayakuwa na kamera baada ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuchukua hatua.
Profesa Mbalawa amesema taarifa hiyo haijamfikia mezani kwake kwa kuwa alikuwa katika vikao vya Bunge mjini Dodoma.
“Tumeamua kufanya ziara na Katibu wa Wizara ili kuona maelekezo aliyotoa Rais, tumeona mashine zote zinafanya kazi, lakini tunaangalia mafanikio na changamoto ambazo wanakabiliana nazo,” amesema
Hii tunaomba, nyinyi wakurugenzi na mawaziri muwe wa mwanzo kuyaona haya Madudu kabla ya Mh Rais. kuyaona.. la sivyo ni kwamba nyinyi hamuwajibiki ipasavyo ndiyo yeye kaona kwa bahati mbaya au nzuri.. Haya yamepita na yasirudie katika sehemu zenu za uwajibikaji.. Unaweza kupanga Ratika katika sehemu muhimu na utembeleaji wake wewe mwenyewe muhusika mkuu. Kama ni Badarini unakwenda leo Mtwara/ Kesho Tanga/ Halafu Dar-es Salam... Kama ni waziri au Naibu au mkurugenzi wa afya leo Hospitali hii kajifanya Mgonjwa aliedamka Asubuhi ya Alfajiri siku nyingine hospitali nyingine unakwenda saa nane ya usiku ili uhudumiwe na uone huduma na ufanisi wa wafanyakazi wa usiku kama wamelala au wako chakari / huduma za Wizara ya Ardhi... na mwengine mengi hii italeta mwamko wa ufanishi na kujuwa changamoto zinazo wakabili watendaji katika nyanja zote ambazo sinmgusa mwanachi... Kumbukeni tumekupeni Majukumu nia na lengo ni Kumtumikia mwanamchi na Kumuondoshea Kero zinazomkabili kila siku.. Na hatuwe kufanikisha ikiwa hatukufanya majaribio sisi wenye na kungoja Taarifa maofisini... Tuwajibike kabla hatujawabibishwa.. Hapa Kazi tu na Baba JPJM mungu amlinde
ReplyDeleteHii tunaomba, nyinyi wakurugenzi na mawaziri na manaibu waziri muwe wa mwanzo kuyaona haya Madudu kabla ya Mh Rais. kuyaona.. la sivyo ni kwamba nyinyi hamuwajibiki ipasavyo ndiyo yeye kaona kwa bahati mbaya au nzuri.. Haya yamepita na yasirudie katika sehemu zenu za uwajibikaji.. Unaweza kupanga Ratika katika sehemu muhimu na utembeleaji wake wewe mwenyewe muhusika mkuu. Kama ni Badarini unakwenda leo Mtwara/ Kesho Tanga/ Halafu Dar-es Salam... Kama ni waziri au Naibu au mkurugenzi wa afya leo Hospitali hii kajifanya Mgonjwa aliedamka Asubuhi ya Alfajiri siku nyingine hospitali nyingine unakwenda saa nane ya usiku ili uhudumiwe na uone huduma na ufanisi wa wafanyakazi wa usiku kama wamelala au wako chakari / huduma za Wizara ya Ardhi... na mwengine mengi hii italeta mwamko wa ufanishi na kujuwa changamoto zinazo wakabili watendaji katika nyanja zote ambazo sinmgusa mwanachi... Kumbukeni tumekupeni Majukumu nia na lengo ni Kumtumikia mwanamchi na Kumuondoshea Kero zinazomkabili kila siku.. Na hatuwe kufanikisha ikiwa hatukufanya majaribio sisi wenye na kungoja Taarifa maofisini... Tuwajibike kabla hatujawabibishwa.. Hapa Kazi tu na Baba JPJM mungu amlinde
ReplyDeleteHii tunaomba, nyinyi wakurugenzi na mawaziri na manaibu waziri muwe wa mwanzo kuyaona haya Madudu kabla ya Mh Rais. kuyaona.. la sivyo ni kwamba nyinyi hamuwajibiki ipasavyo ndiyo yeye kaona kwa bahati mbaya au nzuri.. Haya yamepita na yasirudie katika sehemu zenu za uwajibikaji.. Unaweza kupanga Ratiba katika sehemu muhimu na utembeleaji wake wewe mwenyewe muhusika mkuu. Kama ni Badarini unakwenda leo Mtwara/ Kesho Tanga/ Halafu Dar-es Salam... Kama ni waziri au Naibu au mkurugenzi wa afya leo Hospitali hii kajifanya Mgonjwa aliedamka Asubuhi ya Alfajiri siku nyingine hospitali nyingine unakwenda saa nane ya usiku ili uhudumiwe na uone huduma na ufanisi wa wafanyakazi wa usiku kama wamelala au wako chakari / huduma za Wizara ya Ardhi... na mwengine mengi hii italeta mwamko wa ufanishi na kujuwa changamoto zinazo wakabili watendaji katika nyanja zote ambazo sinmgusa mwanachi... Kumbukeni tumekupeni Majukumu nia na lengo ni Kumtumikia mwanamchi na Kumuondoshea Kero zinazomkabili kila siku.. Na hatuwe kufanikisha ikiwa hatukufanya majaribio sisi wenye na kungoja Taarifa maofisini... Tuwajibike kabla hatujawabibishwa.. Hapa Kazi tu na Baba JPJM mungu amlinde... Mdodo wa Kukaya
ReplyDelete