Mbatia Jipime, NCCR Mageuzi inakufia Mfukoni


Hivi kweli wanabodi James mbatia kwanini anakiua NCCR mageuzi chama chenye historia kubwa kuliko vyama vyote vya upinzani ?

NCCR ya mwaka 1995 na hii nini tofauti sana !!

NCCR ya one man show??
Watu hawana hoja?
Katibu mkuu ajulikani yuko wapi??
Vipaji vya watu kama kafulila vinapotezwa tatizo ni nini??

Wanachama wa NCCR amkeni
Yaani leo NCCR imekuwa kama ACT wazalendo??
Huyu anasema lake yule anasema lake ??
Kila siku kuangaika na wakina mbowe??

Niwaambie tu ukweli mchungu Mimi ni mmoja ya watu wanaoupenda upinzani lakini kwa hili la mbatia siwezi kungata meno huyu ni mamuluki aiwezekani chama kikose hata wabunge bungeni!!!

By Technically/Jamii Forums
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu kijana sasa anaburutwa na nani vile....? manake hajielewi hata chama alichokuwapo....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad