Mbio za Urais Marekani zinaonekana zimeshaisha Hillary Clinton anachukua nchi.

Bado mda mwingi Umebakia lakini huyu mama Hillary Clinton anaonekana ndiye Rais wa 45 wa Marekani and she deserves it na Democrate wako smart sana kuchagua Mgombea.


Donald Trump anaonekana anatapapa ile kazi yake ya TV show katika television zake za Fox naona anairudia anatapatapa leo kaamka anamsifia Sadam Husein kwa Kuua watu pia nimeona kwenye Ukurusa wa Twitter anasema eti Hilary Clinton anapanda Air Force kama nani? watu wengi walimjibu "Kama huna habari she is arleady 45th president of US."


Ninapenda Kampeni za Clinton siyo za Kuchafuana na Kibaguzi dhidi ya watu wa mataifa mengine au Dini nyingine she is a Master of game.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Cimarionfrancio ,,,,u do not what ur talk about,,,,He deserve for what?????Better zip ur stinck mouth if u do not nothing,,,,,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Andika kiswahili tutakuelewa, acha kuandika lugha usiyoifahamu

      Delete
    2. Duh!Mdau kimombo chako heavy duty maanake sijui ulitaka kutupa ujumbe gani ni afadhali ungetuandikia kwa lugha yetu ya taifa(Kiswahili)ili tukuelewe ndugu yetu kulikoni hicho kimombo chako cha ugokoni duh noma kishenzi

      Delete
    3. Kiswahili ndio hamutaelewa kabisaaa maana madaa inamsapoti Clinton yeye anafikiria inamsapoti Trump

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad