Mfanyabiashara Mohamed Dewji aongea na wanahabari. Aiomba Klabu ya Simba imuuzie asilimia 51 ya hisa kwa bilioni 20 ili alete mafanikio. “Kama unataka mafanikio kwenye mpira, hakuna zaidi ya fedha. Simba haiwezi kuwa na miaka 80 leo haina hata uwanja wa mazoezi. Alisema Dewji
Amesema bajeti ya Yanga na ile ya Azam FC ni mara mbili ya ile ya Simba, jambo linaloifanya klabu hiyo kuendelea kubaki kuwa msindikizaji.
Kwa harakaharaka tutasema sawa,lakini...........
ReplyDeleteHUYU NAE,KUFADHILI HAPANA BALI KUWEKEZA NDIO VYEMA?HAYA NGOJA TUONE.
ReplyDeleteMMMH,MBONA SIMBA HII IKO MIAKA 80 LAKINI HAIJAFA?WANASIMBA WENZANGU NA HASA WALE WASOMI TUTAFAKARI KWA KUIDADAVUA HII KIDARASA HASWA.
ReplyDeleteHuyu nae akajambe zake kule, hela za uwizi ndio anataka kuzitumia ili aonekane anasaidia nchi. Miaka yote alikuwa wapi. Watu wameanza kutumbuliwa majipu ndio anajidai anataka kununua yanga ili kusaidia timu. Kwenda mbele kule
ReplyDeleteAlikuibia wewe
Deletealipoiacha simba alinunua singida united na ilimshinda kwa kuwa haikuwa brand kama simba ndiyo maana anataka kuinunua simba si kwa anayoyasema bali kwa faida ya biashara zake.
ReplyDeleteJamani,jamani,Hii hela ya MO itatutokea puani simba,tuachane kusikiliza kelele za mashabiki kwamba timu ikifungwa na yanga au nani wanashabikia timu apewe mo,wao wanachotaka ni furaha tu hawaoni wa kufikiria athari za mbeleni.
ReplyDelete