Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Afichua Jipu la Kutisha

Ni jipu. Ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kusema halmashauri 34 nchini zimetumia Sh1.45 trilioni za miradi kugharimia shughuli ambazo hazikuwamo kwenye bajeti.

Profesa Assad ameyasema hayo katika mafunzo yaliyotolewa kwa watu wa kada mbalimbali kuhusu Toleo la Vijarida Maalumu vya Wananchi kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni mwaka 2014 na kukusanya maoni ya ripoti ya CAG.

“Hili limekuwa tatizo kubwa hapa nchini. Utakuta fedha zimetengwa kwa mradi fulani, badala yake wanabadilisha matumizi na kununua vitu ambavyo havina  stakabadhi,” amesema Profesa Assad.

 “Lengo kuu la fedha hizo za miradi ni kutumika katika shughuli za maendeleo na kutoa huduma muhimu za kijamii.”

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. magufuli na serikali yako KAMUA,KAMUA KAMUA mpaka kieleweke..SISI TUPO PAMOJA WAHT WE NEED IS MAENDELEO,We pray for u kwa jina la MUNGU MMOJA..

    ReplyDelete
  2. SIO SIRI SERIKALI ZOOOOOOTE ZILIZOPITA WAMEJICHOTEA NAKUJIPENDELEA SAAAAANA TU..now we see and manymore will be revealed..ktk project 10 inafanywa moja tena bila kumalizika na bila aibu watu wanakatiana imetoka ndo maana wengi wa serikali zilizopita walikuwa namitambi na si vitambi..shame on them...magufuli na serikali yake oyeeeeeeeeeeeeeeeeee...na hao ukawa ndowale wale mizigo tumeishtukia sasa aya weee..wantapatapa /tumbua baba tumbua tu tunakuombea MUNGU KWA NGUVU ZOTE..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad