Mkoa Paul Makonda Atangaza Msako wa Nyumba Kwa Nyumba Kuwabaini Wasio na Kazi Maalum


Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ametangaza msako wa nyumba kwa nyumba kuwabaini wakazi wa Dar wasiokuwa na Kazi maalum za kufanya.

Amesema Jeshi la Polisi litaanza msako huo wakati wowote na ameomba ushirikiano wa viongozi wa Serikali za Mitaa, viongozi ambao hawatatoa ushirikiano watakamatwa na kutiwa nguvuni.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Khaaa kwahiyo kama hawana kazi maalum...utawafanyaje jamnn...hz sifa nyingine ni mbaya...

    ReplyDelete
  2. Then what ukisha wakamata au kuwa identify??? Uwapeleke gerezani au kambi za kuwalelea. kama unawawezesha Good!

    ReplyDelete
  3. Kwani kutokua na kazi ni kosa

    ReplyDelete
  4. Ujinga tu kuingilia maisha ya watu, ipo kazi kweli, sifa zikizidi na yeye tutamtumbua

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad