TRA imetuma barua kwa kampuni ya minada ya Yono na jeshi la polisi ili kuzuia mali za kampuni ya mkono na kuziuza au kuziweka kwenye mnada ili kufidia kodi na gharama zote za usumbufu kulingana na sharia ya kodi.
Mkono Advocates Wafungiwa ofisi na TRA Kwa Kudaiwa kodi Sh. Bilioni 1.1
1
July 01, 2016
Mamlaka ya mapato Tanzania, kitengo cha walipa kodi wakubwa wamezuia mali za kampuni ya uwakili ya Mkono kwa kudaiwa kodi yenye thamani ya shilingi za kitanzania Zaidi ya bilioni moja.
TRA imetuma barua kwa kampuni ya minada ya Yono na jeshi la polisi ili kuzuia mali za kampuni ya mkono na kuziuza au kuziweka kwenye mnada ili kufidia kodi na gharama zote za usumbufu kulingana na sharia ya kodi.
TRA imetuma barua kwa kampuni ya minada ya Yono na jeshi la polisi ili kuzuia mali za kampuni ya mkono na kuziuza au kuziweka kwenye mnada ili kufidia kodi na gharama zote za usumbufu kulingana na sharia ya kodi.
Tags
Ni lazima kodi halali. Zikusanywe katika muda maalum. Na atakae keeps tutambana mpaka. Azilipe na akishindwa YONO IPO na itapikea kkwa mikono miwili kupata biashara na kuweza kutirudishia pesa baada ya mnada kwisha..na huwa hawachelewi Ni watendaji waziri na Ni mahiri katika kazi zao..tunaomba ttarehe na mahali pa mnada...KODI HAILALI NI WAJIBU WA KILA MDAIWA KULIPA
ReplyDelete