Mr Blue adai couple anayoikubali zaidi ni ya Diamond na Zari

Rapper Mr Blue amesema Diamond na Zari ndiyo couple anayoikubali zaidi.

“Ukinitoa mimi na Wahyda couple ambayo naipenda, naielewa ni Zari na Diamond,” Blue alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times FM.

“Yaani wanapendeza unajua eeh, na Mungu amewajaalia wamepata mtoto, wanashirikiana kama marafiki kwenye biashara, wanajua kucheza na akili za raia, wanaitengeneza couple yao ya kimapenzi, wanaifanya pia inakuwa kibiashara, yaani very nice,” aliongeza.

Kwa upande mwingine Blue amesema hana kabisa bifu na Diamond.

“Sina bifu na Diamond na juzi tumekutana naye Mwanza kwenye show ya Ne-Yo alivyokuja, tumeongea vizuri, tumesalimiana, safi kabisa.”

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haituhusu sisi
    Kwani wana nini cha mno
    Mweeeeeerr
    Fyuuuuuuu
    Mtamaliza waganga
    Fyuuuuuuhh

    ReplyDelete
  2. DUUH!! ‪#‎WCB‬ HAWASHIKIKI TAZAMA KIPANDE HIKI KIDOGO CHA VIDEO WAKIWA MAZOEZINI NI BALAA, HII STAILI MPYA WALIOIGUNDUA UNAAMBIWA NDIYO INAYOWAMALIZA MASHABIKI KILA KONA, UNAAMBIWA DIAMOND ALIITOA ULAYA, ZAMA HAPA KUONA HAKA KAVIDEO KA DAKIKA MOJA...>>>http://goo.gl/fLGZZs

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad