Akijitetea kuhusu kupiga picha na Rais, amejitetea kuwa, alikuwa hana namna sababu ile ni nafasi adimu kupiga picha Na Rais/ Mfalme wa nchi...
Alipoulizwa kwa nini alisimama jirani Na Dr.Tulia Naibu spika, kwa nini asingesimama mbali....amesema Rais Mwenyewe ndio alimwita kuwa njoo usimame hapa....Na yeye sababu ameitwa Na Rais/Mfalme wa nchi alikuwa hana namna sababu Yule ndio Raisi wetu Na ile ni nafasi pekee.
Kuhusu ugomvi Na Magufuli.... amesema wao (UKAWA) hawana ugomvi Na Rais Magufuli.....ila wanaugomvi Na taasisi ya Urais.
My take.....
Siasa za Upinzani wa Tanzania ni zaidi ya Maigizo.!
Msigwa akubali rasmi Magufuli ni Rais wa Jamhuri ya Muungano.!
3
July 14, 2016
Tags
Mwandishi nenda shule
ReplyDeleteKwani ni bungeni
Nani alikuwa mkuu wa shughuli ?
mwandishi kwa kweli unafurahia watu kugombana wakati wote.Panua uwezo wa kufikiri.
ReplyDeleteMsigwa ameshachoka kuburuzwa na bowe na hivi ameonesha Uzalendo na yuko tayari kufata Maendeleo amblo ndiyo jukumu alilokabidhiwa na wananchi wake .. hongera sana Msigwa Karibu katika kuijenga Tanzania yetu bila kujali itikadi za vyama.. kama alivyo sema Mh.Rais JPJM .. kama ni Chedma ni wangu. ... kama ni cuf ni wangu kama ni TLp ni wangu ..kama ni NCCR ni wangu... Mimi ni Raisi wa watanzania.. na lichofanya Msigwa hapa ni kwamba Amwshiriki latika Gurudu la Maendeleo.. Honger a Msigwa na wala isiwe tabu kwako kubadilisha chama pindi mudsa ukiwa muwafaka
ReplyDelete