Msigwa akubali rasmi Magufuli ni Rais wa Jamhuri ya Muungano.!

Akijitetea kuhusu kupiga picha na Rais, amejitetea kuwa, alikuwa hana namna sababu ile ni nafasi adimu kupiga picha Na Rais/ Mfalme wa nchi...

Alipoulizwa kwa nini alisimama jirani Na Dr.Tulia Naibu spika, kwa nini asingesimama mbali....amesema Rais Mwenyewe ndio alimwita kuwa njoo usimame hapa....Na yeye sababu ameitwa Na Rais/Mfalme wa nchi alikuwa hana namna sababu Yule ndio Raisi wetu Na ile ni nafasi pekee.

Kuhusu ugomvi Na Magufuli.... amesema wao (UKAWA) hawana ugomvi Na Rais Magufuli.....ila wanaugomvi Na taasisi ya Urais.

My take.....
Siasa za Upinzani wa Tanzania ni zaidi ya Maigizo.!

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwandishi nenda shule
    Kwani ni bungeni
    Nani alikuwa mkuu wa shughuli ?

    ReplyDelete
  2. mwandishi kwa kweli unafurahia watu kugombana wakati wote.Panua uwezo wa kufikiri.

    ReplyDelete
  3. Msigwa ameshachoka kuburuzwa na bowe na hivi ameonesha Uzalendo na yuko tayari kufata Maendeleo amblo ndiyo jukumu alilokabidhiwa na wananchi wake .. hongera sana Msigwa Karibu katika kuijenga Tanzania yetu bila kujali itikadi za vyama.. kama alivyo sema Mh.Rais JPJM .. kama ni Chedma ni wangu. ... kama ni cuf ni wangu kama ni TLp ni wangu ..kama ni NCCR ni wangu... Mimi ni Raisi wa watanzania.. na lichofanya Msigwa hapa ni kwamba Amwshiriki latika Gurudu la Maendeleo.. Honger a Msigwa na wala isiwe tabu kwako kubadilisha chama pindi mudsa ukiwa muwafaka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad