Mtoto wa Aliyekuwa Kiongozi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden, Hamza Bin Laden Aapa Kulipiza Kisasi


Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden, Hamza bin Laden ameapa kulipiza kisasi kwa Marekani kwa kumuua baba yake.

Ameapa kuliendeleza kundi hilo, amesema wako kwenye mpango wa kutekeleza shambulizi lingine linalofanana na lile la Septemba 11, 2001
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad