Mtuhumiwa wa Mauaji ya Msikitini Mwanza Atoroka Mikononi mwa Polisi

MWANZA: Mtuhumiwa mmojawapo wa mauaji ya watu 3 katika msikiti wa Rahman Ibanda, Hamis Juma(38) anadaiwa kutoroka mikononi mwa Polisi.

Mtuhumiwa huyo pia anatuhumiwa kwa ujambazi katika maduka ya kutuma pesa kwa njia ya simu.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atapatikana tu,La msingi ni kwamba amejulikana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad