Mtumishi wa Takukuru Auwawa na Kisha kulawitiwa Manyara

Taarifa za mauaji wilaya kiteto Mkoa Manyara binti knobs ajulikanae kwa  jina la Eva aliyekuwa akifanya kazi Pccb (Takukuru) ameuawa na mtu asiyefahamika nyumbani kwake na Kulawitiwa na kisha Kuuwawa. upelelezi bado unaendelea na Mshukiwa mmoja mikononi mwa polisi kwa upelelezi zaidi. M/mungu ailaze roho ya marehemu peponi Amin...
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kazi nyingine majanga da!! RIP

    ReplyDelete
  2. Kuna siku hao waliofanya upuuzi na unyama huu watajibu,kila watakalofanya litakuwa la moto mkali,watakuomba maji wajipoze watashindwa kwa maana kuna ukuta katikati yenu,R.I.P.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad