Mtv Base Walivyoisifia video Mpya ya Diamond ‘Kidogo’ na Kumuita Mfalme wa…..

Kituo cha tv cha kimataifa MTV Base kimeipa sifa kubwa video mpya ya Diamond Platnumz aliyowashirikisha P Sqaure kutoka Nigeria. Video hii ni KIDOGO.

Ukiacha kuipa sifa kuwa ndio video bora kwa sasa AFRICA ila pia MTV Base wanasema Diamond ndio MFALME WA MUZIKI WA AFRICA MASHARIKI ‘King OF East African Music

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Si mchezo, jamaa anajua kuwekeza kwenye music

    ReplyDelete
  2. FIXXXXXXXXXXXXX. KAMA KAWAIDA.

    ReplyDelete
  3. Yaani aliyepewa kapewa no matter watu watasema mangapi! Keep it up Nassib

    ReplyDelete
  4. KULA TANO!! WE MKALI BANA. WATAKE WASITAKE!! UKO VIZURI SANA !!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad