Muimbaji Jux Amefunguka Kwanini Alimwacha Jackie Cliff Baada ya Kukamatwa na Kutupwa Jela

Muimbaji wa muziki wa R&B, Jux amefunguka juu ya mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake Jackie Cliff.

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Hatua Tatu cha Times FM kuwa yeye bado kijana mdogo ndiyo maana ameingia kwenye mahusiano mengine.

“Ni kweli kapata matatizo, lakini mimi nimesha move on nipo kwenye uhusiano na mtu mwingine. Mimi ni kijana mdogo acha tu niendelee na maisha yangu mengine,” amesema Jux.

Kwa sasa Jux ameachia wimbo wake mpya ‘Wivu’ ambao umeanza kufanya vizuri kwenye kwenye redio.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmmmh,kumbe matatizo huwatenganisha wengi ktk mahusiano

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad