Muuza Cocaine Maarufu El Chapo Hajatoroka Jela ya Mexico yatoa Ushahidi wa Hii Picha

Serikali ya Mexico imeuwa tetesi kuwa muuza cocaine maarufu duniani El Chapo ametoroka tena jela. Ijumaa iliyopita palikuwa na taarifa za Drug Lord huyu kutoroka jela na kwamba amekimbilia Marekani. Taarifa zilitolewa na ABC News.
Jela aliyopo El Chapo huko Mexican imetoa picha hii ya Guzmán akiwa jela.

Joaquin “El Chapo” Guzman,Mwaka 2014 alitoroka na kukamatwa tena na hapa alikuwa akipelekwa kwenye helicopter kwenye kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Mexico, ilikuwa Feb. 22, 2014. Huyu Jamaa anatajwa kuwa The World’s most-wanted drug boss.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad