Mwanafunzi wa DUCE Achomwa Kisu Baada ya Kufumaniwa na Mpenzi wake

Ni wanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu UDSM college ya DUCE kilichopo Chang'ombe, ilikua Jumapili ya tarehe 24/7/2016.

Jamaa aliyefahamika kwa jina la Jimmy alimfumania mpenzi wake jina Leah (wanachuo wote) na mwanaume mwingine nyumbani kwa mwanamke baada ya hapo Jimmy akawa mpole na akarudi kwake then yule mwanamke akamfuata huko kwake kwa lengo la kuomba msamaha na ndipo jamaa akamchoma kisu cha tumbo na kumpiga na chupa kichwani.

Hadi sasa mwanamke yuko hospitali ya Temeke hoi na jamaa yake sasa yuko Chang'ombe kituo cha Polisi.

Jamani mapenzi yapo na wanawake ni wengi zaidi tupende kwa akili sio moyo huyu jamaa atajuta sana kwa uamuzi wake wa kukurupuka.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mjinga sana kwani mwanamke alikuwa leah tu. kamwaga mboga nawe mwaga ugali. tafuta mwingine. sasa umelipakua kazi kwako.

    ReplyDelete
  2. haikuwa busara Leah kumfuata Jimy chumbani kwake. Angesubiri maamuzi ya Jimy. Wanawake kuweni waamninifu

    ReplyDelete
  3. wanawake tamaa nyingi zinasababisha matatizo kwa watoto wa wenzenu, kilichomfanya aende kwake wakati amemsaliti ni nini? ridhika na ulichonacho

    ReplyDelete
  4. Jamani hii kitu isikieni tu unajua mapenzi yanaumiza sana udau uliyesema penda kwa akili cyo moyo, sidhani kama inawezekana, hii imenitokea mm nimempenda kaka mmoja hana kazi yeyote nikamwambiatuvumilie hivyo hivyo namlipia kodi kula yaani kila kitu juu, yangu juzi kati nakuja kugundua eti anatembea na jirani yake ambaye nae amepangiwa na mwanaume mwanajeshi we acha tu ukweli unaweza kuua mtu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad