Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa kiuhalisia kura za Wabunge wa UKAWA haziwezi kumng'oa katika nafasi yake kwa sababu idadi yao ni ndogo.
Amesema hoja ya wabunge wa UKAWA kutaka aenguliwe kwenye wadhifa wake inafanyiwa kazi na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
Ndio maana analeta jeuri ???????
ReplyDeleteHabari za TULIA na UKAWA
ReplyDeleteZinachefuwa roho zetu
Uchache isiwe nongwa kudharauliwa
Kweli udaku wadaku!! Ameyasema wapi?
ReplyDeleteTulia is a practitioner who is currying the said sick 😷 Tanzanian wachwara..wasiojiheshimu Na watovu WA nidhamu
ReplyDeleteKoma wewe
ReplyDeleteApeleke ushamba wake chuo
Alikobebwa na Migiro