Naibu Spika Tulia Ackson Adai Kura za Ukawa Haziwezi Kumng'oa Katika Nafasi yake


Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa kiuhalisia kura za Wabunge wa UKAWA haziwezi kumng'oa katika nafasi yake kwa sababu idadi yao ni ndogo.

Amesema hoja ya wabunge wa UKAWA kutaka aenguliwe kwenye wadhifa wake inafanyiwa kazi na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio maana analeta jeuri ???????

    ReplyDelete
  2. Habari za TULIA na UKAWA
    Zinachefuwa roho zetu
    Uchache isiwe nongwa kudharauliwa

    ReplyDelete
  3. Kweli udaku wadaku!! Ameyasema wapi?

    ReplyDelete
  4. Tulia is a practitioner who is currying the said sick 😷 Tanzanian wachwara..wasiojiheshimu Na watovu WA nidhamu

    ReplyDelete
  5. Koma wewe
    Apeleke ushamba wake chuo
    Alikobebwa na Migiro

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad