Ndalichako: Tumesitisha Fedha za Field Kwa Sababu Wanafunzi Hewa ni Wengi Mno

Waziri wa elimu Joyce Ndalichako amesema kuwa uhakiki wa wanafunzi bado unaendelea na kwa wale wanafunzi ambao hawajahakiki majina ya wapo kwenye hatari ya kufutiwa mikopo.

Amesema kuna uwezekano mkubwa kuwa wanafunzi wengi ni hewa kwa kuwa kuna chuo kina wanafunzi 130 wanatakiwa kuhakiki lakini mpaka sasa ni nane tu ndio wamehakiki licha ya kutahadharishwa kufutiwa mikopo yao.

Amesema kwa wanafunzi wanaoenda field fedha zao za kujikimu zimesitishwa kwa kuwa jana walifanya uchambuzi kwenye vyuo viwili na kukuta wanafunzi marehemu na waliofukuzwa wameombewa fedha za field

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndalichako...endelea mama Jukumu unaluweeza Na tinu yako inafanya kazi nzuri..na inaonekana. Siasa za wanasasa watapata majibu Yao kwa kweli unaojidhihirisha..Hongera Sana ..Hapa Kazi tu

    ReplyDelete
  2. Asante mama, penye nia pana njia. hao hewa ndio wanaowakosesha watoto wa walalahoi nafasi kuendelea kimasomo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad