Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego amefungiwa kujihusisha na muziki kwa kipindi kisichojulikana kufuatia wimbo wake alioutoa hivi karibuni.
Wimbo huo unaitwa ‘Pale kati patamu’.
Akizungumza Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza amesema Ney anatakiwa pia kulipa faini ya Sh1 milioni.
Du! Huyu 'CHAMATUSI' atakula matusi yake!
ReplyDeleteSawa ndio wakati mzuri wakufanya siasa au michezo ya kuigiza, maana kuimba umeshindwa......bora ufanye siasa huko utapata nafasi nzuri ya kutukana upendavyo
ReplyDeleteMdhalilishaji WA wanawake, naona mmepatwa na mbabe mwenzio Koff
ReplyDeleteWAHENGA WALINENA KUWA"USILE NA KIPOFU UKAMSHIKA MKONO'SASA WEWE DOGO UMEMSHIKA MKONO KWA MAKUSUDI HUYO KIPOFU NAYE AKAJUA KUWA AH KUMBE KWENYE HII SAHANI SILI PEKE YANGU KUNA MSHENZI l NNAKULA NAYE SAHANI MOJA SASA DOGO EBU NIAMBIE WEWE MWENYEWE HUYO KIPOFU ATACHUKUA HATUA GANI DHIDI YAKO?
ReplyDelete