Ommy Dimpoz na Wayne Rooney Kwenye Selfie ya Pamoja…

Kwenye zile stori za kwenye mitandao ambazo zimefatiliwa sana ni pamoja na hii ya Ommy Dimpoz kukutana na Wayne Rooney mchezaji wa Manchester United wakiwa Ibiza na kisha kupiga picha ambayo imebeba vitu vingi tusivyovifahamu na pengine tulihitaji kufahamu.

Picha ambayo imepigwa na Dimpoz ni picha ya video ambayo wanaonekana wanazungumza kitu lakini sauti ya video hiyo imezimwa (mute) so wakati tunasubiri Ommy Dimpoz mwenyewe atuambie walichokuwa wanazungumza ninayo hiyo video mtu wangu ambayo Ommy Dimpoz kapost kwenye akaunti yake ya Instagram.

Kwenye post zake Ommy Dimpoz ameonekana akila raha sehemu mbalimbali za Ibiza,mahali ambako mastaa wengi wa Dunian hutembelea kwa ajili ya mapumziko.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. They say he z not straight...nilikuwa siamin ila sasa kama naamin hv...huyu bwana vishimo ni mzima kweli???

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni maisha yake
      Kwani kuna anamlisha
      Hata akiwa hivyo kwani shida nini
      Tunapenda nyimbo zake
      Acheni kuuingilia maisha ya watu
      Mbona wako bongo tena uongozi wa juu hamuwaseni
      Kisa yupo na mzungu
      Wivu huo

      Delete
  2. Kweli amini usiamini huyu bwana ni joka la kibisa, hana lolote zaidi ya kujifanya yumo. Mmh kazi yenu kama amuamini lakini ndivyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad