Furious civilians attack soldiers who were involved in the coup attempt after they surrendered on Istanbul's landmark Bosphorous Bridge
Soldiers involved in the coup attempt in Turkey surrender on Istanbul's Bosphorus Bridge with their hands raised on Saturday.
Soldiers cower from angry civilians after the apparently failed coup in Turkey.
.
People stand in front of a tank near the Fatih Sultan Mehmet Bridge during clashes with military forces in Istanbul early on July 16.
Turkish tanks move into position as Turkish people attempt to stop them in Ankara.
A man uses his belt to hit Turkish soldiers involved in the coup attempt.
People's power
ReplyDeleteWaacheni na BAVICHA nao wa vimbishe mbavu kama waturuki tuone kama wanaweza chezea TPDF
ReplyDeleteWee anon hapo juu sio wanajeshi hawakutaka2. Hilo ni kundi dogo ambalo lilikiuka na wa kutwaa nchi pasipo matakwa ya Raia wengi kutaka kutwaa madaraka ki nguvu, kwa hiyo wananchi ni jeshi kubwa kuliko wanachi ambao ni wanajeshi. Kumbuka wanajeshi nao ni wananchi tofauti kati ya mwanajeshi na asiyekuwa mwanajeshi ni kwamba mwanajeshi kapata mafunzo ya kijeshi ya kutumia dhana tofauti tofauti za kivita ambazo ni hatari. Na asiyekuwa mwanajeshi awezi. Lakini bado wasio wanajeshi ni kundi au jeshi kubwa wakiamua mustakabali wamazingira ni hatari. Kushinda jeshi lenye mafunzo
ReplyDelete