Rais Magufuli: 5,000/= Wanazoomba Trafiki Barabarani Hazina Shida
14Udaku SpecialJuly 19, 2016
Rais Magufuli Anaonekana akisema:
Saa zingine tunawaonea ninyi polisi, unakuta traffic amekaa mvua inanyesha lakini hata kumshukuru hamna kila siku anaambiwa anakula rushwa rushwa, sasa lakini hata akipewa sh 5000 ya kwenda kubrushi kiatu chake nayo ni rushwa?
MWANDISHI NI PUMBA MU KICHWA YAKO,AU TUSEME NDIO CHOKOCHOKO ZENYEWE.KWANI WEWE UKIMPA DACKTARI AU AFISA YOYOTE BAADA YA KUKUFANYIA KAZI NZURI AU HATA KAMA HAJAKUFANYIA KAZI YOYOTE UKAAMUA KUMPA HELA AKAPATE SODA,HAPO ATAKUWA AMEOMBA RUSHWA?HAPA IKO HIVIIII TRAFIC AKIPEWA SH.5000 SIO TRAFFIC AOMBE SH.5000.
Hakuna watu wabaya au wazuri Kama waandishi wa habari Watanzania tyfungue macho Leo naangalia cnn oops Speech ya First Lady 2008 Imeikaririwa na mke wa Trump Leo yote hii ndo habari ya mjini Watanzania tuyazoee haya RC dar kishanzaa kuzoea
Yani mm kwa magufuli mtu haniambii kitu...sion sisikii kwa raisi wangu...mim ni ukawa damu lakn kwa anko magu akuuu tutabishana kwa wengine lakn raisi wangu ni mtendaji shupavu...madili yote ya mjin ya wajanja kwisha haha unafanya mazaha mpka joto limekimbia mji..sahv kila mtu kimyaa utakula na kuvaa na kuendesha gari kwa pesa halali tuuu hahahaaahhah magu nakupenda bure raisi wangu...
Kuna haja ya kuongeza mianya ya watu kupata elimu, kuna wakati tunatakiwa kusema ukweli hata kama kasema nani. Jambo la msingi na la kufahamu ni kuwa jambo au tamko lolote analotoa Rais linachukuliwa kama sheria, acheni unazi na unafikim usiokuwa na maana, mwandishi katoa habari ya alichosema Rais, wewe unakuja unatukana, hivi hapo uelewa wakom tuuchukulie kwa kiwango gani? kama hujui kitu kaa kimya na waachie wataalamu wa masuala ya siasa waseme. kumbukeni kuwa ni unazi kama huu huu uliofanya au kusababisha hatua zetu za kimaendeleo kuwa nyuma hadi sasa, tutumie muda wetu mwingi kufikiria vitu vya kutuingizia kipato na siyo kutoa maoni ya kutukana watu, ni lazima ifikie wakati tuheshimu Autonomy ya mtu na siyo kuishi kwa mihemko kwani hakika itakugharimu sana. kundi alilopo mwandishi ni la [interest group] hivyo anachokifanya ni kile ambacho yeye kama mwana habari anataskiwa kufanya, vivyo hivyo kwa masuala kama ya kiuchumi, kisiasa, n.k ni vma tukasoma kwanza tuelewa na kada anayotoka fanani kabla ya kuandika kitu.
MWANDISHI NI PUMBA MU KICHWA YAKO,AU TUSEME NDIO CHOKOCHOKO ZENYEWE.KWANI WEWE UKIMPA DACKTARI AU AFISA YOYOTE BAADA YA KUKUFANYIA KAZI NZURI AU HATA KAMA HAJAKUFANYIA KAZI YOYOTE UKAAMUA KUMPA HELA AKAPATE SODA,HAPO ATAKUWA AMEOMBA RUSHWA?HAPA IKO HIVIIII TRAFIC AKIPEWA SH.5000 SIO TRAFFIC AOMBE SH.5000.
ReplyDeleteMsikilize vizuri mheshimiwa ndio utamuelewa anamaanisha nini.
ReplyDeleteMapashkuna wanavyojaribu kuitengeneza hii kitu,mmh.Kama rais kahalalisha rushwa endeleeni kuomba rushwa muone.
ReplyDeleteHakuna watu wabaya au wazuri Kama waandishi wa habari
ReplyDeleteWatanzania tyfungue macho
Leo naangalia cnn oops
Speech ya First Lady 2008
Imeikaririwa na mke wa Trump
Leo yote hii ndo habari ya mjini
Watanzania tuyazoee haya
RC dar kishanzaa kuzoea
Hata msemeje au muandikeje,mkubali huyu ndio tegemeo letu watanzania kwa sasa.
ReplyDeleteYani mm kwa magufuli mtu haniambii kitu...sion sisikii kwa raisi wangu...mim ni ukawa damu lakn kwa anko magu akuuu tutabishana kwa wengine lakn raisi wangu ni mtendaji shupavu...madili yote ya mjin ya wajanja kwisha haha unafanya mazaha mpka joto limekimbia mji..sahv kila mtu kimyaa utakula na kuvaa na kuendesha gari kwa pesa halali tuuu hahahaaahhah magu nakupenda bure raisi wangu...
ReplyDeleteNYIE MNAOTAKA KUGEUZA MANENO NA MANTIKI YA MHESHIMIWA, MSHINDWE KABISA! MSIJIFANYE PUNGUANI, MHESHIMIWA JPM ACHANA NAO, SONGA MBELE BABA, ALUTA CONTINUA!
ReplyDeleteNYIE MNAOTAKA KUGEUZA MANENO NA MANTIKI YA MHESHIMIWA, MSHINDWE KABISA! MSIJIFANYE PUNGUANI, MHESHIMIWA JPM ACHANA NAO, SONGA MBELE BABA, ALUTA CONTINUA!
ReplyDeleteMhhh!!!
ReplyDeleteKomenti ndiyo nimesha ituma
ReplyDeleteFrank Matunda, Ahsante, umenielewa kuhusiana na nini maana ya rushwa.
ReplyDeletembona komenti hazichapishwa??? kulikoni??
ReplyDeleteKuna haja ya kuongeza mianya ya watu kupata elimu, kuna wakati tunatakiwa kusema ukweli hata kama kasema nani.
ReplyDeleteJambo la msingi na la kufahamu ni kuwa jambo au tamko lolote analotoa Rais linachukuliwa kama sheria, acheni unazi na unafikim usiokuwa na maana, mwandishi katoa habari ya alichosema Rais, wewe unakuja unatukana, hivi hapo uelewa wakom tuuchukulie kwa kiwango gani? kama hujui kitu kaa kimya na waachie wataalamu wa masuala ya siasa waseme. kumbukeni kuwa ni unazi kama huu huu uliofanya au kusababisha hatua zetu za kimaendeleo kuwa nyuma hadi sasa, tutumie muda wetu mwingi kufikiria vitu vya kutuingizia kipato na siyo kutoa maoni ya kutukana watu, ni lazima ifikie wakati tuheshimu Autonomy ya mtu na siyo kuishi kwa mihemko kwani hakika itakugharimu sana. kundi alilopo mwandishi ni la [interest group] hivyo anachokifanya ni kile ambacho yeye kama mwana habari anataskiwa kufanya, vivyo hivyo kwa masuala kama ya kiuchumi, kisiasa, n.k
ni vma tukasoma kwanza tuelewa na kada anayotoka fanani kabla ya kuandika kitu.
Rais kasema traffic akipewa 5000/= nayo ni rushwa!! hakusema traffic akiomba 5000/= tunatakiwa kuelewa kilichosemwa.
ReplyDelete