SHILOLE Ajipanga Kukutana na Beyonce..Aamua Kufanya Jambo Hili ili Asije Kuaibika...

‘Ni kweli nataka nirudi darasani nisome lugha ya kingereza kwani ni lugha ambayo imekuwa ikinipa changamoto nyingi mno, kwa sasa ndo niko kwenye mchakato kwani unajua mwisho wa siku sitaki niaibike pale nitakapokutana na wakina Beyonce kwahiyo hii ni heshima kubwa kwenye muziki wetu wa Bongo Fleva’- Shilole
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni rahisa sana kama umeamua,na kwa shilole nampa miezi miwili tu ataongea kingereza vizuri sana kwa kuwa hana aibu anapotaka kujua kitu.

    ReplyDelete
  2. Shilole ulisema hivyo hivyo zamani kuwa utakutana na Nicki minaj kuwa unataka mwalimu wa kiingereza mbona mpaka leo hujakutana na Nicki Minaj? Nicki Minaj na Beyonce hawakutani na mtu kama wewe, ngoja nirahisishe Nicki Minaj na Beyonce hawakutani na wabongo kwani hata hawakujui wewe ni nani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad