Mkuu wa Mkoa huyo aliyasema hayo kufuatia hali ya vitendo hivyo visiyokubalika na jamii kuzidi kushamiri na kuwa kuna hatari kubwa ya watoto wadogo kuiga vitendo hivyo vinavyoleta picha mbaya kwani ni kinyume na maadili ya mtanzania.
Aidha alisema hawezi kuifumbia macho hali hii kwani inamomonyoa maadali ya jamii na kuwa yuko tayari kulivalia njuga suala hili ili kuhakikisha anawamaliza wote mkoani
Sakati hili la ushoga na ukahaba limeibuka siku za hivi karibuni baada ya kituo cha televisheni cha Clouds Tv kumhoji shoga mmoja ambapo jamii ilipinga kitendo hicho na kuona kama walikuwa wakiuhalalisha ushoga na kuaminisha jamii kuwa ni kitu kizuri.
Ushoga hauugwi wala kuambukizwa
ReplyDeleteUshoga ni hisia mtu anazaliwa nayo
Kuna hisia na wa kufundishwa,lakini vyote vinaweza kuachwa kama mtu akidhamiria,toa namba yako hapa nitakutibu na utakuwa shuhuda kwa wenzio.
DeleteUnitibu kwa lipi kwa kulala na wewe
DeleteHujui maana ya ushoga wewe
Hata wanyama kuna mashoga
Ulianza tangu gomora na sodoma
Ushoga hautibiki ngoooooooio
Mashoga Dili kimbilieni balozi za magharibi watawapa hifadhi hata kuhamia ughaibuni
ReplyDeleteMvae mabango
Ushoga si uhaini wala ufisadi
Na ushoga upo na hutakwisha
Kwani tatizo nini simameni tusimame kidete hata inchi za magharibi
Ilichukuwa muda mashoga kutambuliwa
Ushoga upo tangu enzi
Fanya kificho hivyohivyo na uwahamishie huko ughaibuni haraka,ukijionyesha tu tutakupiga mawe mpaka ufe.Ingekuwa ushoga ni jambo jema mbona vitabu vya Dini vinakataza?
DeleteMaadili ya kitanzania kuishi kinafiki
ReplyDeleteAu kusema uongo
Nawashanga sana dunia ya tatu
Watu kuishi kwa uongo
Ushoga si ugonjwa na wala hauambukizi
Mheshimiwa vipi kuhusu majambazi na wale ombaomba? Na mheshimiwa nakuomba ufanye Kazi sio media kwani ni lazima kutangaza?
ReplyDeleteWEE USHOGA ULIUNZA LINI?UMEKUNUFAISHAJE?
DeleteUshoga na huo ukahaba hakuna ambae nadhani kati yao alipenda awe ivyo,hao watu tayar ni waathirika kisaikologia kuacha sio mara moja,mi naona angewatafutia njia ya kuwasaidia maana najua moja ya sababu ni umaskini ndio imewapelekea hivyo,wataendelea kufanya hizo biashara make kuwaondoa barabarani sio kuuondoa ushoga na ukahaba uliopo akilini mwao,hao bado ni watanzania wenzetu aijalishi wanafanya huo ukahaba wanahitaji msaada wa kifikra na ushauri pia.
ReplyDeleteNa uvivu wa kujituma pia ndio unaowaponza,kwani wewe tangu uanze huo ukahaba hujawahi kupata hela ya kuanza biashara nyingine ukaachana na ukahaba?
DeleteMakonda!! Tuunakuamini. Kazi yako inaonnekana na tunaikubali!. Safisha mji wetu kimazomgira na kimaadili. Pamoja Sana kijana wetu..
ReplyDelete