Web

TAZAMA Video Mpya ya Mwanamuziki Harmonize Kutoka Wasafi Records

Baada ya msanii wa Bongofleva Harmonize kuachia video yake ya ‘Bado’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz, leo July 4 2016 Harmonize ameachia video yake ya tatu ‘Matatizo’ Harmonize amechia video ya wimbo ambao hakuwa ametoa audio yake ila ameamua kuanza na video moja kwa moja.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mashairi ya wimbo ni mazuri,,,ilabtupunguze kuigana sauti,,,,maana hiyo sauti kama Nasibu,,,,,Hongera wimbo mzuri

    ReplyDelete

Top Post Ad