(TCU) imetoa Orodha ya Vyuo Ambavyo Havitaruhusiwa Kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa Masomo 2016/17


Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17. Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na;

1. International Medical and Technological University (IMTU) – Kozi zote.
2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – Kozi zote.
3. University of Bagamoyo (UoB) – Kozi zote..
4. St. Joseph University of Engineering (SJUCET) – Kozi zote..
5. University of Dodoma (UDOM) – Kozi ya udaktari
6. State University of Zanzibar (SUZA). – Kozi ya udaktari
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inatia moyo ktk mustakabali wa elimu bora Tanzania, usimamizi ukiendelea hivi tutafika mbali kielimu.
    Angalizo:
    Tusiruhusu siasa iingie ktk elimu

    ReplyDelete
  2. Nimefurahishwa na maamuzi na ufuatiliaji juu ya elimu ya nchi yetu. Ila nina neno moja chonde chonde waziri nisikie kwa ajili ya wale watoto wa waliopelekwa pale wenye sifa ambao wameambiwa waombe upya kwenye vyuo vyo vyote kulingana na sifa zao, Jamani tukumbuke hawa watoto hawakujichagua wao yamkini hawakupenda kwenda huko lakini kwa sababu ya kutii amri halali ya serikali walienda Je muda wao na msitakibali wote wa maisha yao utakuwa njiapanda kuanzia sasa. Tukumbuke sio wote wanaotoka mijini pia kwa mshituko mkubwa kama huu hadi watafute vyuo sijui wadau nisaidieni.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad