Usiye Mtaka Kaja..Donald Trump Apitishwa Kuwa Mgombea wa Uraisi Marekani


Mgombea urais, Donald Trump atangazwa rasmi kuwa mpeperusha bendera wa Chama cha Republican katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.

Atachuana na mgombea anayetegemewa kupitishwa na chama cha Democrat, Hillary Clinton..
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MSIYEMTAKA NDIO RAIS BAADA YA OBAMA,UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad