STAA mkali Bongo Muvi, Irene Uwoya amefunguka kuwa bado hajakata tamaa ya kuwa mwanasiasa japokuwa mwaka jana alishindwa lakini hiyo imempa nguvu ya kujipanga zaidi na kwamba kwa sasa akili yake yote akilala, akiamka ni kuwaza siasa tu.
Akizungumza na Amani Uwoya alisema kuwa, changamoto alizozipitia kipindi cha kampeni zimemfundisha mambo mengi na pia zimemkomaza na kufanya damu yake izidi kupenda siasa.
“Bado siasa ipo kwenye damu na nimepata changamoto kubwa sana kipindi kile cha nyuma na sasa nipo tayari kuingia vitani tena ili niweze kuongoza wananchi wangu na nifanye kila ambacho wamekikosa kwa muda mrefu,” alisema Uwoya.
Uwoya alikuwa akigombea Ubunge wa Viti Maalum Tabora, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) lakini alishindwa kwenye ngazi ya Taifa.
Yetu macho
ReplyDeleteWewe ni wa tabora au unataka kuwatumia watu wa tabora kujipatia ulaji kwenye siasa??? Gombeeni huko huko Dar, huku mikoani kwani wanawake hawapo??
ReplyDeleteLabda magu asiwe mwenyekiti wa ccm
ReplyDeleteHupati ngiioooooooooo
Usijisumbue shoga
Ccm hatutaki mashangingi
Wauza sura
Tunataka wasomi
Shule unayo shoga
Umechelewa shoga
ReplyDeleteCcm ya Leo si Jana
Chezea magu wewe?
😁😂 mmenifurahisha kweli Kama ulikosa kipindi kile cha kina vicky kamata. Kwa mzee wetu Magu umechemka.
ReplyDeleteTimber ujumbe unapokaaa
ReplyDeleteGombea ujumbe unapokaaa
ReplyDeletenani akuchague ubunge unavaa vichupi km hapo hiyo nguo si uchi kabisa huna maadili
ReplyDelete