Wanafunzi Wote Walio Vyuo Vikuu Wasio na Sifa Kuondolewa. Vyuo Kurudisha Fedha za Wanafunzi Hewa...

Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako amesema wanafunzi wote wanaosoma vyuo vikuu wasio na sifa wataondolewa bila kujali wapo mwaka wa ngapi na hata waliopo kazini wataondolewa kwa kuwa hao ndio wanatumia njia za mkato kwenda kupata kazi japokuwa hawana sifa.

Waziri amevitaka vyuo vikuu kuchukua wanafunzi walio bora ili kuweka sifa ya ubora wa vyuo vyao

Na kuhusu vyuo vilivyochukua fedha ambazo hazikustahili vitalazimika kurudisha fedha hizo na kisha kuchukuliwa sheria kwa waliohusika, amesema bado wanaendelea kugundua idadi kubwa ya wanafunzi mfu walioombewa fedha tangia waanze zoezi hilo na sasa wamefikia vyuo vitatu tu.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama Ndalichako, Tunakuamini katika Usafishaji wa Machafuko ya Hali ya HEWA... Na Wanafunzi Hewa,, Katika Miundo Mbinu HEWA na Ubunifu HEWA na Hata Wanafunzi HEWA... Endelea Mama Tuko Pamoja sana... Katika awamu ya JPJM .. Ni lazima Tukomeshe na tuwape meseji kuwa Sisi Tumeichukia Hewa na Tunataka Kuitokemeza Hewa Huko Huko Hewani

    ReplyDelete
  2. Mama Ndalichako, Tunakuamini katika Usafishaji wa Machafuko ya Hali ya HEWA... Na Wanafunzi Hewa,, Katika Miundo Mbinu HEWA na Ubunifu HEWA na Hata Wanafunzi HEWA... Endelea Mama Tuko Pamoja sana... Katika awamu ya JPJM .. Ni lazima Tukomeshe na tuwape meseji kuwa Sisi Tumeichukia Hewa na Tunataka Kuitokemeza Hewa Huko Huko Hewani

    ReplyDelete
  3. Jamani hizi ofisi za serikali zina watu wamejaa huko wanaoitwa graduates wa vyuo vikuu. Hawa majamaaa hawana kitu kabisa, hawajui lolote mpaka unabakia kushangaa kuwa hawa watu wali graduate kutokea wapi. Kwa kweli hiyo Nchi bado ina kazi kubwa sana ya kusafishasafisha hayo mauozo duh!! Mama kazi unayo lakini pia hongera sana na nakutakia mafanikio mema dah

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad