WEMA Sepetu Aingiza Bidhaa Nyingine Sokoni..

Kupitia Instagram yake Wema Sepetu ametangaza rasmi ujio wa bidhaa yake nyingine ambayo hii ni ya mguuni na iko simple kwa namna hiyo.

Kaandika
‘Mara nyingi napenda sana viatu vya chini na vya asilia… nikajionea kwanini nisitengeneze cha aina hiyo?jipatieWema sepetu flops kwa shilingi 12000 kwa jumla na 15000 rejareja, toa oda yako sasa na tutakizindua rasmi tar 29 ambapo mwenyewe ntakuuzia…#UsikuWaWazaramu Loading….. namba ya kupiga kwa ajili ya kuplace order yako ni 0655066565…. vipo design nyiiiingi na rangi nyingi mnoooo’

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Step by step that's what legal fair'n'clean strugglin'in life's all about so ride on little sister Jah guide'n'bless

    ReplyDelete
  2. Yani wema wangu ungekuwa umezinduka toka kipindi kile ndo umaarufu upo kwenye peak sahv ungekuwa bilionea kipindi kile unaruka ruka..na mashost klabu daaah yani sahv ungekuwa na wema seputu pafyum wema bra wema pants wema tops wema trousers wema handbags yani ungekuwa umepiga hela hasaà...lakn sio mbaya bado tunakupenda...hujachelewa kaza mwendo tu utafika...

    ReplyDelete
  3. UMEZINDUKA,SAY NO MWANAMKE KUSUBIRI KUPEWAPEWA/KUHONGWAA.
    NIMEKUPENDA SANA NA LAZIMA NIJE NIKUUNGE MKONO.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad