‘Wema Sepetu Ana Gonjwa la Mapenzi’ ni Kauli inayoendelea Kumuuzima Mama Wema

Mama yake Wema Sepetu, Miriam Sepetu amefunguka kwa kusema anachukizwa na kitendo cha mwanae kupakaziwa habari ya kuwa ana gonjwa la mapenzi.
wema

Mama Wema amesema akiikumbuka kauli hiyo naumia sana moyo.

“Gonjwa la mapenzi ni gonjwa gani?, wewe mwanao uliyemzaa unaweza kumwambia ana gonjwa la mapenzi,” alisema Mama Wema kwa ukali. “Hii kauli imeniumiza sana, watu wake au mashabiki wanaosikia wanatafsiri nini, binafsi hii kauli imeniuza sana,”

Pia Mama Wema amewataka waandishi wa habari kuacha kuandika habari za kumchafua mwanae bila sababu.

Mama Wema ni mmoja kati ya watu wa karibu wa Wema Sepetu ambao walihudhia show ya maklia huyo wa filamu ‘The Black Tie’ iliyofanyika katika ukumbi wa King Solomon weekend iliyopita

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama nafikiri nawe unachangia
    Scandali za wema ilihusu nini mtu mzima Kama wewe tena mke wa ex balozi
    Kutoa video eti kuonyesha wow Lako
    Na kusema kusema wema Hana ya mchina ?
    Mkinyamaza nyote hamna skendo
    Mwachie wema alonge hapa kwani bila wema social network imepooza
    Uwe tu mwl mama asizidishe
    Amwage tu chachandu mengine atuwachie wapenzi wake
    Bora aliyoanza
    Biashara
    Avae nguo zote tutanua
    Kwani anauzika

    ReplyDelete
  2. Kubwa jinga kaibuka tena hahahaha

    ReplyDelete
  3. mama na mwana tabia zile zile uwiiiiiiiii

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad