WEMA SEPETU Avunja Record Nyingine Bongo Awa Mwanamke wa Kwanza Kufikisha Followers Mil 2 Instagram

Baada ya Mwanamuziki Diamond Platnumz Kuvunja Record ya kuwa msanii wa kwanza kufikisha wafuasi Million mbili kwenye Instagram Africa Mashariki , sasa Wema Sepetu nae amekuwa mwanamke wa kwanza kufikisha idadi hiyo ya followers million 2 kwenye mtandao wa Instagram,


Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. flowers hao wangelikua ni pesa tungemwaona wa maana lakini sasa tunamwona mpumbavu tu

    ReplyDelete
  2. Mpumbavu wewe unaecomment upumbavu hela zinatafutwa wewe hata kama zingekuwa hela angekupa? Acha ujinga

    ReplyDelete
  3. Anafaidikaje nao?

    ReplyDelete
  4. Malaya wenzie hao
    Wasiokuwa na vitanda
    Kuranda mitaandaoni
    Magu weka sheria ofisi zote za umma na binasfi wasitumie Instagram wala Facebook saa za kazi
    Kwani nao ni majipu haya

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad