Wolper awa kada rasmi wa CCM, mashabiki wamuita ‘Yuda Iskarioti’

Jacqueline Wolper, muigizaji aliyejipatia umaarufu mwaka jana kwa kuwa bega kwa bega na aliyekuwa mgombea urais kupitia tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa, amejiunga rasmi na Chama cha Mapinduzi, CCM.
Wolper alitangaza kujiunga na chama hicho tawala Jumamosi iliyopita kwenye mkutano mkuu uliofanyika Dodoma ambapo pia Rais Dkt John Magufuli alichaguliwa kuwa mwenyekiti mpya.
Muigizaji huyo alishare kwenye Instagram picha ikimuonesha akimpa mkono Rais mstaafu, Dkt Jakaya Kikwete kwenye mkutano huo.
Picha hiyo hata hivyo imesababisha hasira nyingi kwa mashabiki wake ambao ni wapenzi wa upinzani huku wakimfananisha na Yuda Iskarioti kwa madai kuwa amewasaliti Ukawa.
Hizi ni baadhi ya comments:


Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fyuu
    Huyu Malaya bure bureshi
    Utauza dunia nzimaaaaaas
    Sema u mtoto wa damu wa Magu au msogaaaaaaa
    SHOMBO TUPU
    Bora ulivyorudi kwa Malaya wenzio
    Mimba upatie ukawa mtoto uzaliye CCM
    Malaya haachi jadi

    ReplyDelete
    Replies
    1. POVU LA NINI JAMANI,INAONYESHA DHAHIRI ROHO IMEKUUMA SANA,
      POLEEEEEEEEEE,KUNYWA MAJI HASIRA/MAUMIVU YATAPUNGUA,YAKIZIDI KAMUONE DAKTARI.

      Delete
  2. Tangu lini Malaya akawa na KITANDA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad