Lile timbwili la madale bado linaendelea kuwaka moto , hivi karibuni mzazi mwenzie na Diamond, Zari Hassan amepost picha akiwa na mama yake mzazi huku akimwagia sifa kemkem kuwa Mama yake huyo ana tabia nzuri ,ana hekima na kumfananisha na queen ,kitendo hicho kimetafsiriwa na wapenda ubuyu mjini kuwa zari alimrushia dongo mama wa mzazi mwenzie Diamond ambaye amekua na sifa ya kuwa mkorofi,mshari na asiyependa amani na mkwe wake huyo mtarajiwa
Ameandika hivi:
Zarithebosslady
She was born and raised like a Queen, acts like a Queen, behaves like a Queen, slays like a Queen, moves gracefully like a Queen. Even If she knows she ain't a Royal deep down she is one. Slay Queen, Mama Africa Mrs Halima Hassan
Zari Hassan Amsifia Mama Yake, Asema Sio Mswahili na Mwenye Hekima...
11
July 17, 2016
Tags
Ukipenda u star wa wenzei ili na wee uwe wako na pochi zao penda na Uswahili wao. La sivyo chagua moja funga virago rudi kwa queen. Usimfumbie mama yetu mzaa chema - King of Bongo. Tuache na Uswahili wetu.
ReplyDeleteMama Dai ni limbukeni.
ReplyDeletekweli Domo kainamishwa? mpaka anatukaniwa Mama yake kistaarabu bado anajifanya hajali.
ReplyDeleteWewe nae acha umbea mtu mzm hovyoo hapo umeona ametaja mama mond au unafki tu nyooooo
DeleteAlipomtukana mama daimond wapi hapo sasa,mbona walimwengu wabaya sana.eti kainamishwa kwa lipi hilo,hapo mnasubiri amwache apate mwingine muanze kumwambia ametupa watotot wake kama alivyo baba yake.
ReplyDeleteNi kweli huyo mama ni mswahili sisi wabongo nishida saaana
ReplyDeleteHuyo mama yake ndiye aliyeshindwa kumfunda na kumfanya awe malaya kama alivyo. Mwanamke mwenye watoto wakubwa unakutana na kijana mdogo siku moja tu na kumvulia chupi bila kinga hadi kubeba mimba huoni ni upungufu mkubwa sana wa akili? Kuna ushahidi gani kama hakuna wanaume wengine anaovulia chupi zaidi ya Diamond? Halafu watu wanalaumu mama Diamond tu, huenda hiyo ni reflection ya Diamond mwenyewe baada ya kuwa naye kwa muda mrefu kuwa sasa ameshayajua mapungufu yake yote.
ReplyDeleteHuyo Diamond ana udogo gani? Acheni ubaya Diamond mwenyewe kutwa chupi mkononi kwa kuwavulia wanawake.kumpita mwanaume umri si hoja, hayakuanza leo wala jana mapenzi toka enzi na enzi. Na hata hao wa enzi na enzi mapenzi waliyakuta. Midomo tu, na huyo mama yake Domo nae kazidi jee kwa nini watu wasiseme kama kazidi. Kila mwanamke karibu wote lazima wayapitie machungu yake ya simtaki simtaki utafikiri yeye ndio mhoaji heheee. Atakuja tokea yale ya SIJARI BINT MTAYAONA weee waache na hapo Madale wote watatimuliwa
DeleteZari na mummy mmpendeza sana salut kwako zari na mummy
ReplyDeleteWema sepetu toa lile tako la bandia wala halikupendezi hata kidogo
ReplyDeletewanawake wa kibongo ni wachawi mwacheni Zari wa watu hata kama akiwa ni malaya yeye Zari ni mtu mzima anaweza kuwa malaya na anaweza kufanya kitu chochote anataka kufanya kwani Zari ni mtu mzima
ReplyDelete