Jana Diamond aliwaambia mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram kwa kuandika maneno haya:
“Mungu nae anaumbaga bwana….Kama kana Miaka Kumi,”
Zari Hassan |
Je unakubaliana na Diamond?
“Mungu nae anaumbaga bwana….Kama kana Miaka Kumi,”
Zari Hassan |
Je unakubaliana na Diamond?
Miaka 10, sio kuvunja sharia au kwa mastaa nisawa??
ReplyDeletekipofu kaona mwezi. msione ajabu ndo dunia ya bibi kubemendwa na mjukuu.
ReplyDeleteDomo muongo sana, anajaribu kunzuga grammar asijistukie kama Hamisa anamtia .
ReplyDeletewivu wenu tu kweli kabisa zari anasitahili hizo sifa. jamani myonge myongeni lakini haki yake mpeeni jamani. diamond uko sahihi kabisa!!!
ReplyDeleteUzuri wa asili au wa kutengeneza?
ReplyDeleteAnatumia masaa Mangapi kuwa tayari?