Zari Hassan Ana Miaka 35 Lakini Unaambiwa Diamond Amamuona Ana Miaka 10..Soma Hii

Unaambiwa pamoja kuwa na umri wa miaka 35 na watoto wanne ila Diamond anamuona mpenzi wake Zari Hasan kama bado mtoto wa miaka 10 vile...

Jana Diamond aliwaambia mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram kwa kuandika maneno haya:

“Mungu nae anaumbaga bwana….Kama kana Miaka Kumi,” 
Zari Hassan

Je unakubaliana na Diamond?

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Miaka 10, sio kuvunja sharia au kwa mastaa nisawa??

    ReplyDelete
  2. kipofu kaona mwezi. msione ajabu ndo dunia ya bibi kubemendwa na mjukuu.

    ReplyDelete
  3. Domo muongo sana, anajaribu kunzuga grammar asijistukie kama Hamisa anamtia .

    ReplyDelete
  4. wivu wenu tu kweli kabisa zari anasitahili hizo sifa. jamani myonge myongeni lakini haki yake mpeeni jamani. diamond uko sahihi kabisa!!!

    ReplyDelete
  5. Uzuri wa asili au wa kutengeneza?
    Anatumia masaa Mangapi kuwa tayari?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad