​Zari na Ndugu wa Ukweni Kwake Haziivi, Ujumbe Huu wa Snapchat Una Majibu yote

Diamond Platnumz na Zari the Bosslady wapo kwenye mtihani mgumu unaozikumba familia nyingi za Kiafrika – maelewano hafifu na ndugu wa ukweni!

Mama Tiffah yupo mjini alipokuja kumsalimia mchumba wake huyo na kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mama mkwe wake.

Licha ya Diamond kupost kipande cha video controversial Instagram wakiwa bafuni na mpenzi wake – wengi wanasema uso wa Zari unaonesha sura tofauti, ya huzuni tofauti na anavyoonekana mwenzie.

Kuna mengi yalitokea kwenye birthday ya Mama Diamond na ambayo yanazungumzwa kwenye mitandao ya kijamii kuanzia urafiki usio wa kawaida wa dada yake Diamond, Esma na Hamisa Mobetto na mengine. Esma amelifafanua hilo kwa post ndefu Instagram.


Lakini kubwa ni ujumbe wa kutatanisha wa Zari kwenye mtandao wa Snapchat unaoelezea jinsi ambavyo hajali ukoo mzima usipomkubali.


“Hakuna mtu mwenye uhusiano na dunia nzima, nchi au ukoo,” aliandika kwenye Snapchat, mtandao ambao wasanii wanaamini wana uhuru wa kufunguka zaidi.
“Huwa na uhusiano na mwanaume au mwanamke wao, ni mimi na yangu tu ndivyo vyenye maana. Unataka kujua kwanini? Ni sababu ilikuwa ni nyie wawili tu pindi mlipokutana. Na itakuwa ninyi wawili tu pindi mambo yakienda kombo kati yenu. Haitakuwa ukoo au nchi au mtu mwingine wa tatu,” aliongeza.
Bi. Sandra ambaye ni mtumiaji mzuri wa Instagramm aliweka petroli kwenye moto baada ya kupost picha ya Wema na Idris na kuwasifia: Uzalendo kwanza, umependeza sanaa mamy akee..”

Binamu wa Diamond, Romy Jones naye amepost picha kumpongeza shemeji yake wa zamani. Wanasema ushemeji haufagi lakini.


Kuna mjadala mzito Instagram kuhusu issue hii.

Tetesi za kuwa Zari hana maelewano mazuri na ndugu zake na Diamond zimekuwa zikiandikwa kwa muda mrefu na magazeti ya udaku. Kwa yaliyotokea, kuna asilimia nyingi za ukweli ndani yake.
Hakika Diamond kazi anayo!

Imeandikwa na Fred Bundala

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na nyie UDAKU kazi mnayo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani udaku acheni muitwe udaku yaani mnakesha kwa kufatilia mambo ya wenzeni wewe mkeo na wakwe zake wapo vp

      Delete
  2. Kupendwa na familia kuna umuhimu wake wewe..usiombe hapo roho inakuwaka moto...si bure wazaz wa ivan hawakukupenda nasasa wa diamond pia...una tatizo jichunguze...bibi jitu...hahahahaha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe nafikili ujaolewa aliyekwambia ndugu wa mume wanashukurani nani utashukuru ukiwapa wakitumia kikiisha wameshasahau

      Delete
  3. Mshenzi Tu huyo Malaya wa kiganda atupishie hukoo,mambo yameshamshindwa mdomo mrefu wa niniii!????mxiuuuu...kwani kuzaa ndo ninii???huyo tifah mwenyewe mtoto fekii,uso haya na adabu huna!!!sasa subiria uhondo unakuja utajutaa!! Wema sepetu anaingia Madale soon..upooo Bibi kizee!!???tumeshakuchokaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. pili pili wala Zari na Diamond ninyi yawawasheni vipi?
      Angalieni ya kwenu!

      Delete
    2. Mshenzi Tu huyo Malaya wa kiganda atupishie hukoo,mambo yameshamshindwa mdomo mrefu wa niniii!????mxiuuuu...kwani kuzaa ndo ninii???huyo tifah mwenyewe mtoto fekii,uso haya na adabu huna!!!sasa subiria uhondo unakuja utajutaa!! Wema sepetu anaingia Madale soon..upooo Bibi kizee!!???tumeshakuchokaaa
      Reply - mshenzi ni wewe anony 9.53am na pia ni malaya wa kutupwa kwa nini umtukane mtu ambaye si ajabu hamjawahi kukutana popote? huyo dada kakufanyia nini mpaka uporomoshe mitusi yako ya kishenzi, hata kama Tifa si wake wewe kinakuuma nini? jiangalie kwanza wewe kabla hujamtukana mwanake mwenzio na kumpachika majina ya kishenzi na si ajabu mzee ni wewe kuliko hata huyo zari. na huyo wema kwenda madale ni ndoto

      Delete
  4. MPELEKENI NCHI ZA NJE MARA TATU KWA MWAKA.MAMA DOMO ATAMPENDA TU ZARI

    ReplyDelete
  5. Kwani mlipotongozana family ilikuepo sio yeye tu watu kibao atuwivi na ndugu wa mume kutokana roho mbaya walizonazo fanya yako bibi wala wasikuumize kichwa ndoa zao zimewashinda

    ReplyDelete
  6. kwa hakika heshima ni kitu cha bure usipomuhishimu mama mkwe wako unategemea nini? huyo ulie nae bila mama hungempata pili mafanikio yote ni kutoka kwa mwenyezi mungu na baraka za mama kwa hivo bibi zari haiwezekani nakata hata kama mulikutana wawili na mambo yakienda kombo ni yenu wawili lakini kama mama hana raha kweli nyinyi mutaipata wapi na wewe diamond achanan na huyu mwanamke mzee atakukosesha radhi mama ni mama hakuna zaidi ya mama usisikie kwanza DINI PIA HANA HAJIJUI HAJITAMBUI AMKA MONDI UTAJIRI WAKE NI WA WAKE

    ReplyDelete
  7. huyu kizee cha ug. anataka kumgombanisha Dai na Mama yake ndo maana anashika mimba kila mwaka, nakumbuka yule rafiki wa Ivan alisema Dai kafanya big mistake kuwa na Zari. sasa tunayaona nyege za kutaka watoto zitawatokea puani.

    ReplyDelete
  8. hiyo msm Domo ndo kamuandikia, maskini kaangaikaaa weee, mwisho kainamishwa kwa grammaaa!

    ReplyDelete
  9. nyie wote mnaomtukana hapo juu mnataka aachwe mkitegemea ndio nyie muingie hamna lolote. mwanaume akiwa na pesa, ni tabu sana ndugu wanafikiri mwanamke anafaidi na wala sio lazima iwe ni tabia mbaya ya mwanamke. wangapi wanapendwa na mawifi na wakwe kiukweli? wengui ni kinafiki tu acheni majungu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jojo kunywa soda ntalipa

      Delete
    2. Bora mwanaume awe maskini lakini akijenga tu na familia zetu za kimasikini hatari

      Delete
  10. wewe unaetaka Wema aingie madale umesahau historia? huyo wema mwenyewe walishakaa karibu mwaka mzima na mama mkwe hawaongei mpaka baadae ndio wakayarekebisha. waswahili ni waswahili tu hata akitoka mtu wapi watampangua tu.

    ReplyDelete
  11. MTATUKANA WEEE MONDI HATA AKIMWACHA ZARI HARUDI KWA WEMA SAHAUNI, MNAJICHOSHA BURE, NA WEMA KESHASEMA SUOUL MATE WAKE IDRIS, SASA NYIE MNAOJIFANYA MNAYAJUA SANA MTABAKIGI KUTOA MIMACHO TU MKISUBIRI YASIYOSUBIRIKA. HALAFU KWA TAARIFA YENU ZARI AKIONDOKA KWA MONDI HANA HASARA YOYOTE. NYUMBA ANAYO, PESA ANAYO, ATAENDELEA KUTUNZA WATOTO WAKE. ANACHOFATA KWA MONDI NI PENZI TU.

    ReplyDelete
  12. MTATUKANA WEEE MONDI HATA AKIMWACHA ZARI HARUDI KWA WEMA SAHAUNI, MNAJICHOSHA BURE, NA WEMA KESHASEMA SUOUL MATE WAKE IDRIS, SASA NYIE MNAOJIFANYA MNAYAJUA SANA MTABAKIGI KUTOA MIMACHO TU MKISUBIRI YASIYOSUBIRIKA. HALAFU KWA TAARIFA YENU ZARI AKIONDOKA KWA MONDI HANA HASARA YOYOTE. NYUMBA ANAYO, PESA ANAYO, ATAENDELEA KUTUNZA WATOTO WAKE. ANACHOFATA KWA MONDI NI PENZI TU.

    ReplyDelete
  13. Malaya tuu huyo anataka kula pesa za Diamond na bi Sandra kaisha mjua na kambana kila kona sasa anachanganyikiwaa...na bado pesa ya Diamond inaliwa na mama yake tuu!!!kwanza Rudisha tiffah kwa katunzi uso haya bibi kizee ,wazazi wa Ivan pia hawaongei na wewe na wanakuita mchawii..na inawezekana lakini kwa bi Sandra humuweziii kiboko yakoo...mishauoo kwishneyy...

    ReplyDelete
    Replies
    1. mshenzi mkubwa wewe mtoe wa kwako na umpe huyo katunzi, hivi kusoma hujui na picha huwezi kuangalia???? acha ujinga wako

      Delete
  14. Bi Sandra yalikushinda Magot na bilicana
    Huhami madale mbona unauzika bi mkora wewe

    ReplyDelete
  15. eeeeh! MICHOSHO!!!

    ReplyDelete
  16. JAMANI HUYO NI ZARINA HASSAN AU MDOGOWAKE?KM NDO YEYE.MITHILI YA MTU ALIYEJIPENDELEA KUJIUMBA MWENYEWE..MWEEEE!!!!!MTOTO KAUMBIKA!!!!!!! MANSHAALLAH.Hakika Dogo almas hajakosea kuchagua...long life couple yenu

    ReplyDelete
  17. Na nyie Udaku ?
    hatari masikio makubwaaaa kama kaka miye , pua ndefuuuu za ulipyoto ,chogo ndefu kwa unafari
    na viatu vimepinda na visigino kulika kwa Umbea wa kuyatafuta , balaa mweee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad