Zitto na Maalim Seif walivyokutana kwenye mkutano Marekani

Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wamekutana Katika Mkutano Maalum wa Viongozi wa Kisiasa Ulimwenguni (International Leaders Forum) ambao umefanyika jana  ‘Kwa Saa za Marekani’ Jijini Philadelphia.

Mkutano huo ulioandaliwa na asasi ya NDI ‘National Democratic Institute’, ni Sehemu ya matukio maalum kuelekea Mkutano Mkuu wa Chama Cha Democrats (Democratic National Convention), Mkutano ambao utamthibitisha Bibi Hillary Clinton Kuwa Mgombea Urais Kupitia Chama Hicho.

Zitto Kabwe Pamoja Na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim watakuwa Philadelphia mpaka Siku ya alhamis ambapo  mkutano huo unategemewa kumuidhinisha Bi Hillary Clinton Kuwa Mgombea Urais wa Marekani kupitia Chama Hicho.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zito kaenda kwa tiketi ya CHADEMA lol!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haikuhusu
      Ccm inawauma pamoja na kumpa jina la Obama
      Duniani wanajuwa ati
      Hakuna demokrasi Tanzania

      Delete
    2. We STOP, usimponze wakamtoa roho....unamjua vizuri Mbowe au unamsikia tu?? Mwayego mbowe, Zito kaenda kwa tkt ya ACT.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad