Mwezi September kwenda kushusha Laana 5 takatifu kupitia nyimbo mpya atakazoenda kuachia 2 zake binafsi na 3 alizoshirikishwa na wasanii wa ndani na nje ya nchi,
Wajuzi na watafiti wa duru za Burudani Africa Mashariki, Wanabashiri kuwa huenda ikawa ndiyo mwanzo na mwisho wa kufunga rasmi nyufa za mziki wa bongoflava ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Ambapo kwa sasa wasanii wengi wamevamia game na kukop mziki wa Nigeria bila kuzingatia misingi ya mziki wetu wa asili, Mbaya zaidi na wengine kufika mbali kutumia kiki za kihafidhina na kununua tuzo ili kupush mziki wao unaosuasua.
Note:
Kila atakayesikia project hizo mpya za KingKiba, Hakuna hata mmoja atakayethubutu kumaliza luku yake kusikiliza nyimbo zenye unaijeria, kiki na promo za kipuuzi.
Muandishiiio kanunuee soda kwa mangi nakuja kulipa hahhahaah yani ukweli tupu umeandika afu ukweli mchungu sasa...ngumu kumeza hii mamae kibaaa one man army..no kikindo no skendoz no uhayawani a very wel respected musician who is living a simple life n having a humble soul...watakaonuna wanye tikikiti...hahahahah tunasubiria hizo laana za kiba...
ReplyDeleteinaonyesha jinsi ulivyo mjinga.
ReplyDeletekweli kabisa usemayo. Kiba ni mtu anaejitambua hana kiki za kujinga hawanunui watu wamsifie, hana muda wa kugombana na Mademu anapiga kazi tuu. Napenda sana tabia zake.
ReplyDelete