Aliyekuwa Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Wenzake 8 Wafikishwa Mahakamani

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa-NIDA- Dickson Maimu (wa tatu kushoto) na viongozi wengine  nane wa taasisi hiyo wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mapema leo.Habari zaidi tutawaletea.

Mnamo mwezi January 2016, Rais Magufuli aliamua kutengua uteuzi wa Mkurugenzi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) Bwana Dickson Maimu na kumsimamisha kazi yeye na wafanyakazi wengine ili kupisha uchunguzi wa namna ilivyotumika kiasi cha shilingi bilioni 179.6 katika zoezi la upatikanaji wa vitambulisho vya taifa wakati bado kuna malalamiko kwamba watu wengi hawajapata vitambulisho hivyo. .

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Makubwa haya
    Lakini isijekuwa pesa ilitumika kwa kampeni za uchaguzi mwakani
    Taja na sema usibakishe

    ReplyDelete
  2. Nyie udaku kwa unafiki mpaka mnasahau mnaandika nini watatu kushoto na mtu yuko peke yake kwenye picha wa kwanza ni mzimu usioonekana

    ReplyDelete
  3. Jamani lini tutakuwa Waadilifu... Uaminifu pia tunaukosaa Au ndiyo Tamaa... Tutaviacha vyote hapa Duniani.. Muogopeni MUNGU....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad