AUDIO: Kitu Diamond kasema kuhusu yeye kuwa mapenzini na Hamisa Mobetto

Ukaribu wako kwenye mitandao ya kijamii siku za karibuni unaweza kuwa ulikukutanisha na stori Diamond Platnumz amekua na uhusiano wa kimapenzi na mwanamitindo wa bongo Hamisa Mobetto.

Stori zilianzia kwenye birthday party ya mama Diamond baada ya Hamisa kuonekana kuwa karibu na familia hiyo hasa dada wa Diamond lakini pia kuna picha iliyosambaa inaonyesha wawili hao kila mmoja amepiga picha kwa wakati wake lakini kwenye mazingira ya chumba yanayofanana.

Sasa August 2 2016 Leo Tena ya Clouds FM Diamond Platnumz ametolea ufafanuzi hiyo ishu na kusema “Hamisa nimeanza kumjua zamani sana kwasababu yupo katika industry hizi za kufanya fashion, nimekua nikimjua muda mrefu kidogo na sikuwahi kuwa na matatizo nae yoyote sababu tumekuwa ni watu tu ambao tunaheshimiana …..”

‘Sina uhusiano wa kimapenzi na yeye, juzi kati alikua kwenye video yangu mpya nimefanya na Ray Vanny na nafikiri hiyo imechangia kuingiza hayo maneno, kufanya video Tanzania mara nyingi huwa inaleta manenomaneno’

kupata full story ya Diamond akiongelea pia kuhusu picha iliyounganishwa wote wakiwa wametumia chumba kimoja bonyeza play hapa chini kumsikiliza akihojiwa na Geah Habib na Dahuu‘

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kakuzalia bkz anajua nusu ya urith wako utaenda kwake si ana watoto wako...ulivyo mkaza huddah vegas ilikuwa ni nn...we kijana ni dudu mkononi yani ni necha yako huwezi acha...so stop fooling people around...mfyuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbona mipovu inakutoka, kakupitia na wewe?????

      Delete
    2. Hahahahahahaaa mdau wa hapo 11:30 nimekupenda bure

      Delete
    3. Anonymous 11:30 umenena. Huyo lazima kapitiwa tena kwa mkopo. Huoni povu hilo?

      Delete
  2. Mademu mnapapatikia nyinyi wenyewe kwa kuutaka umaarufu mkitombwa na Diamond na yeye background yake ni mtoto wa Manzese zamani ilikuwa kupata "K"kwake ni tabu sasa amejituma na kipaji chake Mungu anemuona kawa maarufu na nyinyi minyampapa hamuishi kujipitisha pitisha kwake kwa kila hila sasa yeye afanye nini anawapanga foleni mmoja baada ya mwingine kudadeki zenu malaya wenye tamaa

    ReplyDelete
  3. Dai muongo sana, anawatia wengi hana hudah kashampitia. anataka kumuonyesha BossLeba kuwa mwaminifu.

    ReplyDelete
  4. mbona anasitasita kama haamini anayosema? hahaaaaaaaaaaaa uongo mwingine hauna tija. sasa BossLeba akikuchit unataka akuonyeshe au unajifanya hujui kama kakudangànya hana mtoto mkubwa kuliko wewe!

    ReplyDelete
  5. Mapovu hayanitoki koma ukamae yatamtoka alowapitia na kukuinamisha wewe Anony 11.30 AM

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anonymus 2:54 lazima umebokolewa na kuinamishwa sana. Povu lako si la kawaida. Pole zako. Jifunze kusema na njaa na ny*ge zako mshindo. Hahahahaa

      Delete
  6. anatetemeka hata kusema hawezi kwa uongo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad