Baba Amwandaa Mtoto Wake Aje Kuwa Raid wa Tanzania 2050, Wasafiri Kwa Baiskeli Kutoka Singida Hadi Dar

Huyu dogo anaitwa Yusuph Mohamed Nassor (2), baba yake Mzee Ahmed Nassor (67) amesema wakati ana mwaka mmoja na nusu alisema anataka kuwa Rais hivyo anamuandaa kuja kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2050 kupitia Chama Cha CCM. Yeye na Baba yake wamekuja Dar es Salaam kutoka Singida kwa usafiri wa baiskeli kuja kuonana na Rais Magufuli

Nini maoni yako hapo?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli umaarufu unatafutwa duuuh...kila la kheri totooo usome kwa bidii na ndoto yako itimie baba

    ReplyDelete
  2. Kazaa uzeeni ndio tatizo mtu anakua kama amechanganyikiwa vile

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad